HAMISA, WEMA NA JOKATE WACHAMBANA LIVE KISA DIAMOND
Mastar wasioisha vituko mjini hamisa mobeto wema na jokate wamechambana live kisa diamond.
Kisanga kilianza pale diamond alipomuwish birthday mlimbwende jokate na kumuandika kama african beauty.
Katika harakati za mchambano huo paparazi wetu alijaribu kupata screenshot ya michambano lakini hakufanikiwa baada ya wahusika kufuta fastaa comments zao
No comments: