HATIMAYE WATU WASIOJULIKANA WAKAMATWA LEO HII
Watu watatu ambao wanahusika na matukio ya kuhamasisha maandamano yanaendeshwa na mwanadada mange kimambi wamekamatwa na jeshi la polisi.
Wananchi hao ambao ni wakazi wa dodoma wametuhumiwa kuhamasisha maandamano kwenye mitandao ya kijamii kabla ya kukamatwa na jeshi letu pendwa la polisi.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Rais wetu mpendwa
No comments: